Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, August 08, 2009



Utumikishaji wa watoto katika masuala ya Kijeshi unapigwa vita kote duniani lakini bado baadhi ya mataifa hususan vikundi vya waasi huendelea na vitendo hivi. Hebu imejin hawa ni watoto wako...

0 comments: