Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, August 14, 2009

Lango la magharibi la kuingilia NHK-Tokyo jana mchana liligubikwa na burudani pale jamaa wawili kwa raha zao walikuwa wakipiga magitaa na kuimba na wadau wa mambo hayo tukajisogeza!
kwa raha zako!
Uvumilivu unapofikia tamati...Kamarade Ndesika akikandamiza moyo..

0 comments: