Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, August 08, 2009



Polisi wakiwalinda Raia wawili wa Bulgaria wanaotuhumiwa kuiba mamilioni ya pesa kwenye ATM za Bongo. Nedko Stanchav(shoto) na Stela Nedelcheva(kulia) Wakirudishwa Kituo cha kati baada ya kumkataa mkalimani waliyepewa.Wazungu na pea na wabongo...eeh kazi kweri kweri...

0 comments: