Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, September 06, 2009


Binti huyu Mrembo anaitwa Amani Wairimu , jina lake likiwakilisha wajihi na tabia yake binafsi.. Ana historia ndefu ya uimbaji , alianza akiwa na miaka sita wakati akihudhuria ibada kanisani na kujumuika katika vikundi vya kwaya na akiwa bado katika shuleza msingi na sekondati alikuwa tayari ameanza kutunga nyimbo. . Anaweza kumudu Jukwaa na kutumia sauti yake kuwasilisha hisia zake. Mwaka 1999 aliingia studio kurekodi singo yake ya kwanza akliwa na miaka 19 na mwaka 2006 akafanya kweli tena alipotoka na 'Bad Boy'. Pamoja na nyimbo zake nyingi kama Tamani, Bad boy, Move on, Tahidi, Papii lakini wimbo usiwe mbali unaonyesha dhahiri kipaji chake. Hebu sikiliza wimbo huo wa Amani Wairimu.

0 comments: