
Kwa furaha na unyenyekevu mkubwa nakutakia mtazamaji wa blog hii kila la kheri katika sheehe hizi za kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Katika Kipindi cha Mfungo tumejifunza Kujua nafasi ya binaadamu katika dunia hii, tumejifunza kuvumilia, kusamehe, kujali na kujumuika. Na tuanze upya basi. Pokea mkono wa Eid el fitri nikijua unajali na unaelewa. Eid Mubarak!
DKT. MWIGULU AKAGUA MAENDELEO MRADI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
51 minutes ago

1 comments:
shukran, Eid Mubarka na wewe pia
Post a Comment