Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, September 29, 2009

Kilaji kwa watumiao. Nimetembelewa na Mjapani mmoja Hiroshi Ikeuchi ambaye kwa mujibu wa maelezo yake anaipenda Tanzania kuliko mfano. Amefanikiwa kutembeleaa nusu ya mikoa ya Tanzania na anaongea Kiswahili vizuri. Alipofika nilimpa zawadi baada ya kuitaja kuwa ni kifaa anachokipenda sana. Konyagi.
Zawadi kwa mgeni...du ashushe mikono ndio itakuwa ..imijibu.

0 comments: