kuna Vijiji maalum vya wamasai mkoani morogoro katika wilaya ya Mvomero ambako kila mnada wa Ngombe ukifanyika ...lazima Nyama nyingiene ichomwe na kuliwa na wadau..fuatilia raha ya minada hii hasa kwa wapenda nyama!
chagua mofu hapo!

Utaalamu wa kuoka nyama!
DKT. MWIGULU AKAGUA MAENDELEO MRADI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
53 minutes ago

0 comments:
Post a Comment