Eeh wadau ..Tumegongana ndani ya nyumba....safi sana 
Nimekutana na wadau muhimu katika tamasha hili...Da Pendo na Braza hapo tukapiga picha mapema tu ya kumbukumbu...safi...
Hawa jamaa wa Ki-brazil wana midundo yao fulani lazima tu mzuka utapanda kama huamini angalia sasa...
Hatumwi mtu hapo...
Nasi pia tunaziweza!
Hivyo hivyo!
Eeh kuna nini tena kule!
OlaH ...Na wadau wa Kibrazil...Du!
TIB YAUNGA MKONO AJENDA YA NISHATI SAFI KUELEKEA DIRA 2050
25 minutes ago

0 comments:
Post a Comment