Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, September 08, 2009


Moja ya vipindi vinavyopendwa sana nchini Kenya ni hiki hapa kiitwacho BullS eyes kinachotayarishwa na Mtangazaji Emannel Juma wa Televisheni ya NTV .Hebu angalia ubunifu wa Mtangazaji huyo na vipindi vingine kwa kubofya vipindi utakavyovichagua. Take 5 Emma.

0 comments: