Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, October 31, 2009

Mwandishi wa habari Mkongwe Ali Saleh Alberto anayeifanyia kazi BBC kule Zanzibar katika moja ya darasa lake kwa waandishi wenzake.

1 comments:

Anonymous said...

Katika watu walioiboresha taaluma ya uripoti habari, Ali Saleh ni kinara.
Nimekuwa namsikiliza akiripoti toka Zanzibar kuhusu matukio mbalimbali, kweli anastahili kuwa kwenye orodha ya waheshimiwa wa Teknohama ndani na nje ya Tanzania.