Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, October 02, 2009


Mpare mmoja aliteleza toka juu ya ghorofa. Kabla hajaanza kubingirika kwenda chini akampigia kelele mkewe:”Oooh!USIPIKE LEOOO,NITAKULA HOSPITALI…” Na kweli.

0 comments: