Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, December 28, 2009

Jiji a Morogoro limerindima kwa Sherehe kabambe ya harusi ambapo Bw. Khalifa Msulwa na Bi. Naima walikata shauri la kuanza maisha ya ndoa mke na mume. Safari katika ukurasa mpya imeanza..Hongereni sana!
Bw. na Bi. Msulwa Kh..href="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyP5x3sWQ-ikyOGTAQd_Xs5txvaqj0tdmB756AF-i1gHQhortYcWd7e-4nNaDdOyKi-Z1YrMV3r1GxhxhhX2juovof8Nlpg4FC-KZiXmrneyonakJOSXDl5icJzJrdDwEoarFo8X-3Uzo/s1600-h/saha+.m+528.jpg">
Bwana na Bibi harusi wakitoka ukumbini baada ya Sherehe kumalizika..Hongereni sana na karibuni katika changamoto za maisha ya ndoa..

1 comments:

mumyhery said...

hongera bw na bibi harusi, twawaombea maisha mema mapya yenye furaha na faraja mzae mke na mume