Raisi wa Sierra Leonne Ernest Baikoroma, Mwenyeji Kaimu Raisi wa Nigeria Dr. Goodluck Jonathan , Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda wakisikiliza wimbo wa taifa wa Nigeria ukipigwa mwanzoni wa Mkutano wa biashara na usindikaji vyakula uliofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Transcorp nchini Nigeria.
Waziri wa Viwanda na Masoko Dr. Mary Nagu , Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda na Naibu waziri wa mambo ya Nje Balozi Iddi seif wakitoka nje ya ukumbi baada ya kumalizika kwa Mkutano huo.
Dira Ya Dunia
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment