Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, March 27, 2010


Muziki wa vijana wa zamani; Enzi za Och. First Moja One . Enzi hizo ukiingia ukumbini kila mtu anaimba kwa sauti wimbo unaopigwa ; hii sijui ilikuaje hisia au wepesi wa kushika maneno. Unasemaje ? Sec.Gen.Tanzanite -Mwombeki Jnr; upo?

3 comments:

malkiory said...

bwana Msulwa naomba nitafuti hii rekordi ya zilipendwa nina imani kabisa RTD wanaweza kuwa nayo.

DUNIA DUARA: MORENA NA ORCHESTRA MOJA ONE

Anonymous said...

Hiyo inawezekana , kuna project ya kuuza kanda la msingi ni kupata orodha ya kile unachokihitaji then kuwasiliana na wanaohusika. kwa sasa anza na hizo...

malkiory said...

Bwana, Msulwa, hii audio nilikwishaipata awali,nilichogundua hapa ni mchanganyiko kibao na pia haziko full. Ningependa nipate ule wa dunia duara peke yake na huu wa Afro 70 dirishani pekee pia. Hizi nyimbo mbili zinakumbusha mbali sana.