Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda amesema kuwa Serikali ya Tanzania imewekeza kwa kiasi kikubwa katika jitihada zake za kubadili kilimo Tanzania na ndio lengo kubwa la ziara hii. PM pamoja na wajumbe wengine ameambatana na Waziri wa Kilimo Mh. Stephen Wasira na Katibu Mkuu Wizaraya Kilimo Zanzibar Dr. Mohamed.Katika kueleza imani ya Tanzania juu ya Mpango huo uliopewa jina la "Kilimo Kwanza, Mh. Pinda"........
Ilikuwa fursa pia ya kumkabidhi Waziri Mkuu Mh. Pinda zawadi za nyaraka na vipeperushi kutoka kwa Uongozi wa Shirika la Utangazaji la Japani-NHK.
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, March 27, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Hongera sana mheshimiwa waziri mkuu kwa ziara yenye mafanikio na kukutana na waandishi wa shirika la utangazaji la Japani.Tulikaribisha shirika hapa nyumbani ili liwekeze katika miundo mbinu ya matangazo yake katika masafa ya FM.
--------------------------------
Mwanachama #582
Redio Japani.
Shukuran sana kwa kuwa miongoni mwa wanachama wa Kwanza wa Mirindimo kuiona post hii, take 5
Post a Comment