Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, May 03, 2010

Baadhi ya Watanzania wanaishi katika majiji ya Kanagawa na Tokyo jana Jumapili walikusanyika nyumbani kwa Bw. Mwidi huko Odakyu Sagamihara kwa ajili ya dua ya kumuombea dada yake Bi. Sabina Itambiko ambaye kwa sasa yupo Japani , aliyefariki huko Tanzania siku za karibuni.Shughuli hiyo iliwajumuisha watanzania wengi na ilikwenda kama ilivyopangwa.



Kutoka Kushoto; Bi Joyce,Bi. Sabina, Mama Misa, Bi. Mariam, Bi. Moza.


Mwandamizi wa "Umoja ni Nguvu", Dr. Kamu akichukua picha ya tukio hilo. Unaweza kutembelea ; www.aikamangi.blogspot.com kwa picha zaidi.

0 comments: