Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, July 21, 2010


Keki ya kunikaribisha nyumbani...
On transit...DUBAI


Uwanja wa ndege wa Dubai ...kiwango mwananchi..

2 comments:

malkiory said...

Mkuu mpaka nakuonea wivu! yote tisa hiyo ya WELCOME DADY. Nadhani ulijisikia faraja sana.

Anonymous said...

Sana tu siwezi kusimulia...