Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, July 25, 2010

FUATANA NAMI KATIKA SAFARI YANGU YA ARUSHA , ; Funga mkanda.



Nikielekea Arusha , daraja la wami likionekana kupitia kioo cha dereva...




Mapumziko kwa ajili ya chakula cha mchana ...Mombo vifaa vya usafiri vikitusubiri...




Mombo njiani kwenda Arusha ..matunda tele kijikapu mia tano na mfuko mrefu elfu. Maumivu ya kichwa kwa wakulima matunda yanaharibika shamba...




Nimekutana na Afande wangu wakati wa mapumziko ya shule ...


Niko na mdau maarufu wa habari jijini Arusha Mr. Mchau tukionja soda mpya ambaye kwa-Tz ilitoka

kitambo...na nyama ile ya kukausha kidogo..sina maswali..




Eneo la makao mapya Arusha wenyeji wanatuambia kunataka kuwekwa lami ...sijui lini labda kuelekea Oktoba ..du!




Tunaingia stendi kuu -Arusha..




Haya unakwenda wapi mkubwa!...

2 comments:

Anonymous said...

Hizi picha nizza mwaka gani? Rejea tarehe iliyopo! Asante

Anonymous said...

ni kweli tarehe katika kamera inahitaji kurekebishwa lakinui ni za hivi sasa hivi...asante kwa angalizo.