Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, August 24, 2010

Joto limeshika kasi nchini Japani hususan jiji la Tokyo. Jua kali , joto jingi. Liliwahi kufika 39 hapa Tokyo na jana likashuka na kufikia 33.6C Hata hivyo halikutuzuia kutoka mtaani. Baada ya kazi za ofisini tuliingia katika mitaa ya Harajuku kuona pilikapilika za wakati wa joto...

Mtaa maarufu wa Harajuku unavyoonekana ..

Mwenzetu Edward Kadilo alijichanganya na vijana wa Kijapani katika mtaa wa sikukuu...
Pozi la picha (Kutoka Kushoto) Specioza -Mama J, Ana Kwambaza , na Mie...

1 comments:

malkiory said...

Msulwa: Poleni sana huko, picha tu inatosha kuthibitisha usemi wako.