Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, August 24, 2010


Vazi linapendekezwa litumiwe na watembea kwa miguu ili kuepusha ajali. ...Nafikiria tu likivaliwa na watui jijini Dar es salaam , na mtu akakosea na kubofya kushoto kumbe anakwenda kulia si balaa...watu bwana!