Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, August 28, 2010



Mgombea wa Uraisi Dr.J.Kikwete akiwa katika mikutano ya kuomba ridhaa kwa waajiri wake wa kulitumikia taifa kwa miaka mingine mitano hapa anawasili kijiji cha Buhingwe , Kigoma vijijini ....


Mama mlemavu Jocyceline Paulo akiteta na Dr. J.K katika kijiji cha Rusahunga..(thenksi bratha Mithupu)

0 comments: