Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, August 01, 2010


Leo zamu yangu..


Majukumu ya kifamilia.


weldi kap imetuachia mavuvuzela majumbani...

3 comments:

malkiory said...

Bwana Msulwa kumbe mambo ya spedi bado hakupigi chenga. Hilo ni tizi nzuri sana kwa ajili ya kupata apetite. Vingine, mishikaki, nyama choma, mtoro n.k zitakuhenyesha. Furahi likizo yako hapo Bongo, bila shaka hujajisahau kupiga kura au wewe si mkazi wa hapo kwa sasa!

Makunzojr said...

Kweli hizi zimeshika hatam mpaka Ammy B nae hayuko nyuma katika swala zima la Vuvuzela. Imetulia. Mdau
Bh Makunzo

Anonymous said...

Unajua tuliopitia JKT tunakuwa malti-papas, kila upande tunafit...Bongo yetu inahitaji hivyo..