Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, August 10, 2010

Raisi wa Rwanda Paul Kagame ameshinda kwa asilimia 96 katika kura zilizohesabiwa awali ambazo nyingi ni kutoka nje ya nchi hiyo na karibu theluthi moja ya majimbo nchini humo , jambo ambalo dhahiri limempa ushindi....Bado zoezi la kuhesabu kura linaendelea lakini ni katika kuweka kumbukumbu sawa
Unaweza pia kufuatilia umaarufu wa Raisi Kagame kwa kufuatilia ripoti hii ya shirika la habari la Uingereza The Reuters.
object width="640" height="385">

Weye una maoni gani juu ya ushindi huu wa Kagame?

1 comments:

malkiory said...

Bwana Msulwa, huyu ni kiongozi makini sana ambaye viongozi wengine katika bara la Afrika wanapaswa kumuiga. Tunachohitaji sisi ni mtu mwenye uchungu na nchi na watu wake. Hata kama angeongoza kwa mia 40 hili si tatizo maana matunda ya kazi yake yanaonekena wazi, pamoja na kuwa Rwanda imepitia misukosuko ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ulinganisha na Tanzania Rwanda inayo rasilimali chache, lakini pamoja na hayo,sera nzuri na usimamizi mzuri wa rasilimali chache walizonazo umejengea heshima kote duniani.