Jana katika pitapita yangu ya kununua bidhaa kwa ajili ya Iftar jioni nikakutana na bidhaa zenye majina yaliyonifanya nizinunue.
Futari; inasubiri magharibi tu kuliwa...
Kifuniko cha Juisi ya TBC
Nimekutana na kahawa ya Kilimanjaro na juisi ya TBC ...tamu ladha yake ...lakini ina uhusiano? na...!
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA SADC
54 minutes ago

0 comments:
Post a Comment