Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, September 15, 2010

Gari la wagonjwa kijijini kwetu...wenyewe tumezoea!
Kwani una swali...sidhani. (Thanks bro. Michuzi jr)

2 comments:

Mzee wa Changamoto said...

WOW!!!!!!!!!!!!!!!!
That's all i can say.
SINA SWALI kwa waandishi wala wapiga picha, labda ningewauliza WAGOMBEA
Asante Uncle B.M

Anonymous said...

Mzee wa Changamoto, nimekusoma. Hebu liandike swali lako hapo huenda wagombea, wapmbe ama wafuasi wataliona na watalijibu.
B.M