Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, September 01, 2010

2 comments:

Anonymous said...

Yaani wewe Msulwa ni kama Michuzi, mna tabia za kunusa nusa...hivi hakuna vyama vingine vinavyoendelea na kampeni? Mbona hujawahi kureport chochote? Kilichokufurahisha kwenye hii stage shoo ni nini? Wacheni unafiki kushabikia chama ambacho maisha yenu wenyewe na watoto wenu yako matatani. Nafurahi kuwa tayari CCM imekosa kura yako. Badilika

Anonymous said...

Mmmh, Nimesikia mkuu . Unajua ndugu yangu mawazo yangu yalijisogeza zaidi kwenye ubunifu wa Marlaw na burudani ..lakini kumbe wadau wameguswa na itikadi, sipo huko. Lakini umesomeka mh, hata hivyo naamini utakuwa umeoona picha za kambi nyingine, pengine tuongeze sasa.