Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, September 19, 2010

Wewe hubna msongo…kama huamini nenda Pakistan, si unaona Watu wakitapatapa kuokoa roho zao baada ya bomu kulipuka katika eneo la kuabudia huko Quetta, Pakistan. Inasikitisha sana hii…sielewi yaani!

0 comments: