Ofisi rasmi ya kiserikali ya Waziri Mkuu wa Kenya Raiola Odinga baada ya ukarabati mkubwa uliogharimu pesa ya Kesha shillingi Millioni 329 . Eeeh inapendeza kwakweli..
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
As if hakuna wafao njaa.
As if iliyokuwepo ilikuwa haimuwezeshi kufanya kazi zake
As if hii itaongeza ufanisi
As if pesa zilizotumika zamaanisha umakini wa kazi na kumbukumbu
As if hili litaondoa rushwa na ukabila
As if.....as if ..... as if.....
Tatizo letu ni kuwa twashindwa ku-prioritize mambo. Na hili ndilo tatizo letu kubwa. We need to start doing "first things first"
Post a Comment