Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, September 28, 2010

Jana mchana kulikuwa na kabaridi na mawingu hapa Tokyo. Hata hivyo nikaona nitembee katika bustani ya Yoyogi karibu na NHK BH ...kulipendeza..
Tupa tupa macho naona kitu kwa mbaliii ...wacha nisogee...


aaah ..Kwa raha zake mdau kajifunika shuka ya nailon anachapa uchingizi...

0 comments: