Huyo ni kijana kutoka kabila la Muerle akichunga ngombe huku amebeba silaha nzito ili kuwa tayari kupambana na wezi wa mifugo p[indi wakijitokeza. Tumboni mwake mkiwa na mapambo chungu nzima kama sehemu ya utamaduni wao. 

Dira Ya Dunia
6 hours ago

0 comments:
Post a Comment