Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, October 13, 2010


Weekend iliyopita nilipata fursa ya kutembelea mnada wa magari katika mkoa wa Gumna , eneo la Ooyama kwa udhamini mkubwa wa kampuni ya MAEJI ya uuzaji wa magari yenye makao yake hapa Japani ambayo Mkurugenzi wake mkuu ni Mkenya Jeff Musyoka. Najiandaa kuweka picha na maelezo ya kutosha juu ya kile nilichokiona' Kwasasa ukitaka kuijua kampuni hiyo bofya; www.maeji-kaiho.com

0 comments: