Jijini Tokyo kuna utaratibu uliozoeleka ambapo kwenye taa za kuongozea magari...watu hupita kwa mpigo pande zote hali kadhalika magari...badala ya huku Kijani kule nyekundu ambapo ajali hutokea...naambiwa na London Uingereza wanafanya. Kwanini isiwe Ubungo au faya pale bongo japo kwa majaribio angalau?
Kwa mkupuoooo haiwezekani kwetu?
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, October 16, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment