Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, October 16, 2010

Majuzi kulikuwa na kutano uliowakutanisha Maprofesa na wanafunzi kutoka Vyuo Vikuu vya kilimo duniani na Afrika ilikuwa na uwakilishi pekee kutoka Tanzania , Chuo Kikuu cha Sokoine -SUA cha Morogoro. Profesa Rutatora na mwanafunzi wa Chuo hicho ndio waliowakilisha SUA na Tanzania kwa maana hiyo. Baadaye jioni kulikuwa na mlo na mazungumzo ya kinyumbani kwa Da Anna Kwambaza , Mtangazaji wa Redio Japani...


Profesa Rutatora kulia na mdau Kibona mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha kilimo cha Tokyo hapa japani...


Komred Amani Paul alikuwepo...


Issa Kapande na mie tulikuwepo...


Miongoni mwa wageni mashuhuri walioalikwa alikuwa uncle J. Amani aliyepakatwa na Bi. Yuriko..

Toka kushoto Jonas, Da Anna (Mwenyeji wetu), Kapande na Bi. Yuriko.

0 comments: