Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, December 04, 2010

Inatajwa kuwa aina hiyo ya pilipili ni kali kuliko zote duniani. Inapatikana Mexico..Inasemekana imetokana na mchanganyiko wa aina kadhaa za pilipili zilichanganywa kwenye maabara za mbegu katika Chuo Kikuu cha Warwick.

Kuna jamaa mmoja anaitwa Fowler anasema ukila tu kwanza unasikia maumivu ya ladha chungu halafu uuuuwiii... unaanza kuwashwa. Jamaa anasema ukiila lazima unyamaze kimya kwa muda wa dakika kadhaa kichozi kikutoke then Ghuuu...! ..du!

2 comments:

Anonymous said...

Mkuu, nimekusoma, lakini naona wamesahau pilipili kichaa za kule kwetu, kwa mtazamo wangu hadi zitaitwa kichaa inamana zina "washa" kweli kweli.

Anonymous said...

Umeniacha hoi hapo uliposema ukila tu unasikia maumivu...'wapi?' kisha waanza kuwashwa.... kisha kachozi kiduchuu!! mmmmmmh, patamu hapo.