Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, December 20, 2010

6 comments:

George said...

..ilo pozi babkubwa kaka..mguu mmoja mbele, nyundo mkononi..saaafii kabisa!!hahahaaa.....rindima kaka..

Anonymous said...

Msulwa; Imependeza ...kumbukumbu nzuri hata kwa wajukuu wao.......... teh teh teh!

Anonymous said...

Huyu ni mjukuu ama mke? pozi kali sana!!!...na hicho kitenge hapo chini mmekiona??...hahahah...kazi kweli kweli

Anonymous said...

Huyu ni mjukuu ama mke? pozi kali sana!!!...na hicho kitenge hapo chini mmekiona??...hahahah...kazi kweli kweli

Anonymous said...

Ni mke ndugu yangu...unajua wazee wanajua jinsi ya kupozi kwenye picha ...hata miye nimeipenda; Msulwa BRH

Anonymous said...

duh!huyu Mzee noma kweli, hiyo nyudo,mkono wa kushoto na mguu wake wa kulia!!!