Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, January 07, 2011

Ndani ya majengo ya NHK...

2 comments:

Anonymous said...

hali za hewa bongo na japani zinalingana?

Anonymous said...

Mmmh Hapana ndugu yangu, hapa japani kuna baridi wakati huu . Ni kipimo cha 5 cha selsiasi najua maeneo mengi ta Tanzania kuna joto kiasi wakati huu.. labda hapa inafanana na ngorongoro kule Arusha Ila jua linawaka mchana na kuzama saa 10 na nusu hivi jioni.MSL B.