Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, January 03, 2011

Kiongozi wa Sudan Kusini Salva Kiir Mayardit katika moja ya ziara zake katika eneo lake la kusini.
Sudan Kusini inajiandaa kwa kura ya maoni na wakikubaliana hivyo wanajitenga na kuwa nchi kamili badala ya kuwa chini ya Sudan inayoitwa ya 'Kiarabu'...

0 comments: