Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, February 15, 2011

Kumekucha ....barabara zimejaa barafu na mapaa kuna mabonge pia ya barafu.Usiku kucha mvua ya theluji ilidondoka lakini hali imetengamaa asubuhi...picha ya mapaa ya nyuma za majirani na mitaani katika viunga vya jiji la Tokyo...nimeshuhudia..0 comments: