Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Thursday, April 07, 2011

Majuzi kulikuwa na maonyesho ya tatoos huko London , uingereza. Mdada mmoja wa kijapani yeye alitoa mpya alitinga kama alivyo... eeh dunia sijui inakwenda upande gani. Sijui imekaaje!




0 comments: