Kiongozi wa Upinzani nchini Uganda Kizza Besigye amelazwa katika hospitali ya Nairobi akipata matibabu kufuatia majeraha na maumivu aliyoyapata huko kwao uganda wakati akipambana na polisi kufuatia uamuzi wake wa kutembea kila siku kwa miguu kuonyesha kupinga ongezeko la bei za vyakula na petroli, polisi walizima zoezi hilo kwa mabavu.
Dr. Timothy Byakika na madaktari wengine wanaoshughulika na afya yake amesema kuwa kwa sasa hali yake inaendelea vyema na ameanza kuona baada ya mlango huo wa fahamu kupata hitilafu.
CCM IRINGA YAMPA TUZO MAALUM MNEC SALIM ASAS
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment