Jeshi la Marekani sasa linawatumia mbwa kama askari kamili wanaoweza kumtambua mlengwa na kufanya maamuzi ya kumkamata au kumshambulia. Vifaa vyote anavyo na tochi juu ya mgongo wake...Mmhhh hatua hiyo!
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment