Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, May 15, 2011

Nakitafuta sana hiki kitabu, wapi kinapatikana? anayejua jinsi ya kukipata aninong'oneze!

2 comments:

Subi Nukta said...

Nimekisoma kitabu hiki chote, ninacho ila nilikiazima toka Maktaba ya Chuo Cha Ualimu Korogwe, nitakirudisha.

Unaweza kununua nakala yako mtandaoni.

Nimekiona Amazon (http://www.amazon.com/Nyota-ya-Rehema-Swahili-Mohamed/dp/0195724267) au unaweza kuwasiliana na East African Publishers pia (http://www.eastafricanpublishers.com/uchuuzi/index.php?productID=1242) kuona urahisi wa kukipata.

Anonymous said...

Asante sana Da Subi...umenisaidia mno. Kila siku nilikuwa nikiwaza lini nitakutana tena na nyota ya Rehema. Riwaya iliyo na mengi ya kujifunza. Shukran sana.
Msulwa