Raisi Jakaya Kikwete akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa UN , Dr. Asha-Rose Migiro, Katikati ni Raisi Wattara wa Ivorycoast. Walikutana katika katika Mkutano wa Viongozi wa Africa eneo la Sipopo,Malabo, Equatorial Guinea.
Picha ya chini)....Akiwa na Rais Ellen sirleaf Johnson wa Liberia.
Uchaguzi Tanzania 2025: Tanzania kupiga kura Oktoba 29
51 minutes ago
0 comments:
Post a Comment