Jana Jumatatu hapa Jijini Tokyo, Japani kulikuwa na sherehe ya kufana katika jengo la Shirika la Utangazaji la Japani -NHK ambapo studio mpya ya kisasa ilifunguliwa.
Idhaa ya Kiswahili nayo haikuwa nyuma , tulikuwa na mwanamuziki wa kijapani anayeimba nyimbo za kiafrika Erico Mukoyama , maarufu Anyango. na nyinginezo ambaye aliwaburudisha watu waliopita kushuhudia tukio hilo. fuatilia picha na video inayoeleza kwa muhtasari juu ya tukio hilo...
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Tuesday, October 11, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment