Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, October 03, 2011

Moja ya mambo yaliyovutia katika maonyessho ya kimataifa ya utalii yaliyofanyika hapa Tokyo, Japani ni ubunifu wa kuyafanya matikiti maji kuwa mapambo ya meza ya chakula!.unasemaje mdau!

0 comments: