Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, January 24, 2012

Nawaomba radhi sana wapenzi wa Mirindimo kuwa kwa siku kadhaa sikuwa hewani kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu...nimerejea sasa kwa kishindo...muda mfupi ujao nitamwaga picha zilizopigwa bongo (Tanzania) katika hafla maalum ya uzinduzi wa matangazo ya NHK World kupitia TBC FM ...!
Sasa unaweza kuziona picha nyingine nyingine nyingi kupitia mtandao rafiki wa ; www.aikamangi.blogspot.com hapo kulia kwako kuna mtandao unaojitambulisha kama UMOJA NI NGUVU bofya hapo na endelea kufuatilia picha...

0 comments: