Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, March 06, 2009

Chifu wa Wangoni Chifu Emanuel Zulu akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Mzee Ali Hassan Mwinyi katika sherehe ya Birthday ya Mzee Kawawa

Posted by BM. on Friday, March 06, 2009

Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samuel Chigwiyemisi Malecela akipungia mikono kusalimia wageni wenzake waalikwa

Posted by BM. on Friday, March 06, 2009



Makomredi Fred Fidelis ...Fredwaa...Meneja wa vipindi wa RFA akiwa na Intl. Paparazi Peter Omari jijini Mwanza.

Posted by BM. on Friday, March 06, 2009

Kutoka Bugando hospitali...

Posted by BM. on Friday, March 06, 2009

Komredi Peter Omari akiwa hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza kumtembelea mtoto Michael Fred aliyelazwa hapo , kulia ni mama yake Bi. Rahab Fred ambaye ni mtanngazaji mahiri wa RFA jijini Mwanza.

Posted by BM. on Friday, March 06, 2009

Safari ya mwisho ya mtangazaji wa ITV, Rehema Mwakangale. Alifariki mwanzoni mwa wiki hii na kuzikwa jana jijini Dar. Mungu aiweke mahala pema peponi, Amin.

Posted by BM. on Friday, March 06, 2009

Bila shaka mazoezi yanahitajika kurekebisha hali...

Posted by BM. on Wednesday, March 04, 2009

Mke wa Raisi Mstaafu wa Zambia Fredrick Chiluba , Bi. Regina Chiluba katikati pichani amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kutumia vibaya fedha za umma wakati mume wake alipokuwa madarakani na pia amehusika na rushwa. Hapo anapelekwa Gereza kuu la Lusaka linalojulikana kama Chimbokaila.

Posted by BM. on Wednesday, March 04, 2009

Raisi Mstaafu Fredrick Chiluba na Mkewe Regina wakati Chiluba akiwa madarakani

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Hii imekaaje!....

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Tanzania House...Jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Japani leo Jioni ...naingia kumuona Mh. Balozi.

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Nilibahatika kwenda kumuona Balozi wa Tanzania hapa JapanMh. Elly Mtango leo na tukafanya mazungumzo ya saa moja na nusu. Mh. Mtango amemaliza kazi zake za kiutumishi kama balozi hapa Japani kwa miaka nane na ushee na sasa anarejea nyumbani.

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Pozi ndani ya Ubalozi mbele ya bendera ya taifa..

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Hapo utapata makulaji na vitafunwa na utafunda kilaji.. Kijiwe muhimu jijini Mwanza.

Posted by BM. on Tuesday, March 03, 2009

Kama umefika.... na hujafika hapo bado hujafika.