Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, October 08, 2008

Mabingwa na watafiti wa picha huko Marekani wamekubaliana majuzi kuwa hiyo ndio the best photo ya mwaka huu inayoonyesha necha. Huo ni mlima Fuji nchini Japani. Upo hapo!

0 comments: