Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, October 06, 2008

Jose Camellioni mwanamuziki wa kizazi kpya kutoka Uganda , alijirusha kutoka ghofa ya tatu ya Hoteli hii ya Impalla mjini Arusha na kuvunjika mguu . Habari zaidi baadaye.

0 comments: