Dr. Mohamed Shein Mkamu wa Raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (Kushoto), Pm Mizengo Pinda, Naibu waziri Kiongozi ZNZ Ally Juma Shamhuna wakijadili kero za Muungano . Kikao kilianza jana chini ya Dr. Shein ambapo mawaziri wote wa Serikali ya ZNZ wanahudhuria na ujumbe wa bara ukiongozwa na Pinda. Hapo sasa bila shaka itatamkwa kama Zanzibar ni nchi ama ni sehemu ya nchi.
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Monday, October 13, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment